TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Sunday, June 26, 2016

BLACK COFFEE AWABWAGA WANA MUZIKI MAARUFU AKIWEMO DIAMOND PLATNUMZ

DJ raia wa Afrika Kusini ambaye pia ni producer maarufu kama Black Coffee, amewabwaga wanamuziki
maarufu wakiwemo WizKid, Yemi Alade na Diamond Platnumz na kushinda tuzo la kimataifa la usanii la BET.

Mwaka uliopita Black Coffee alitoa albamu yake ya tano, Pieces of Me, na kupata mashabiki wengi.

Mwaka 2015 na 2016 umaarufu wake uling'aa katika ulingo wa kimataifa maeneo tofauti kote duniani

Tuzo hilo llitangazwa kupitia kwa mitandao ya kijamii.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: BLACK COFFEE AWABWAGA WANA MUZIKI MAARUFU AKIWEMO DIAMOND PLATNUMZ Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA