TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Thursday, July 28, 2016

AMBER ROSE: ADDAI ANATATA KUWA MFANO WA KUIGWA KWENYE JAMII

Mrembo Amber Rose X wa Wiz Khalifa amesema kwamba hivi sasa hana mpango wowote wa kugombana na wanawake wenzake kugombania wanaume.

Amesema kuwa ameanza kubadili mwenendo wa tabia yake ili aweze kuwa mfano wa kuigwa mbele ya jamii.

Alisema kazi hiyo ataifanya baada ya kuwa na uhusiano kwa muda mrefu na baadhi ya wanaume ambao wameshindwa kumpa raha.

“Sitaka kuwa na presha ya ajabu,mimi najaribu kuanza tabia mpya,kila siku mtu anaweza kupanga mipango yake ya maisha,nami nimeanza kwa kufanya hivyo,”alisema.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: AMBER ROSE: ADDAI ANATATA KUWA MFANO WA KUIGWA KWENYE JAMII Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA