TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Saturday, July 9, 2016

HAKUNA MAZUNGYMZO YOYOTE KATI YA MAN UNITED NA PAUL POGBA

Klabu ya Manchester United inam'mezea mate Paul Pogba lakini hakuna mpango wowote wa kuonyesha kuna mazungumzo ya kumsajili mchezaji huyo yameanza.

Uvumi umekuwepo kuhusu uhamisho wa mchezaji huo wa pauni milioni 100 unaotarajiwa kuvunja rekodi ya dunia,lakini BBC Sport imeambiwa kuwa hakuna mazungumzo yoyote yalioanza kati ya Manchester United na Juventus.

Cha mno ni kwamba Pogba kwa sasa anaichezea timu ya Ufaransa na hangependa kuathiri matayarisho yake ya fainali ya Euro siku ya Jumapili dhidi ya Ureno.

Habari toka BBC Sport. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: HAKUNA MAZUNGYMZO YOYOTE KATI YA MAN UNITED NA PAUL POGBA Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA