TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Friday, July 29, 2016

MAKAMU WA RAIS AMJULIA HALI SPIKA WABUNGE LA JAMUHURI YA MUUNGANO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai alipofika kumsabai nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Spika amerejea nchini hivi karibuni kutoka nchini India ambapo alikwenda kwa ajilia ya uchunguzi pamoja  na matibabu ya Afya yake.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai pamoja na Mke wa Spika Dkt. Fatma Mganga (kulia) alipofika kumsabai nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Spika amerejea nchini hivi karibuni kutoka nchini India ambapo alikwenda kwa ajili ya uchunguzi pamoja  na matibabu ya Afya yake.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS AMJULIA HALI SPIKA WABUNGE LA JAMUHURI YA MUUNGANO Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA