Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia
Wambura akisalimiana na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi
Joyce Fissoo wakati akiwasili katika hafla ya uzinduzi wa studio ya
kisasa ya Wanene Entertainment Julai 29,2016 Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia
Wambura akisalimiana na mmoja wa wakurugenzi wa Wanene Entertainment
Bw. Darish Pandit wakati akiwasili katika hafla ya uzinduzi wa studio ya
kisasa ya Wanene Entertainment Julai 29, 2016 Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia
Wambura (kushoto) akimsikiliza kwa makini mmoja wa wakurugenzi wa
Wanene Entertainment Bw. Bhadresh Pandit (kulia) wakati wa hafla
uzinduzi wa studio ya kisasa ya Wanene Entertainment Julai 29, 2016
Jijini Dar es Salaam katikati ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu
Tanzania Bibi Joyce Fissoo .
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia
Wambura (katikati) akizungumza jambo na wakurugenzi wa Wanene
Entertainment Bw. Bhadresh Pandit (kushoto) na Bw. Darish Pandit(wa pili
kushoto) wakati wa hafla uzinduzi wa studio ya kisasa ya Wanene
Entertainment Julai 29, 2016 Jijini Dar es Salaam wa pili kulia ni
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi Joyce Fissoo na kulia ni
mtayarishaji wa video kutoka kampuni ya Wanene Entertainment Bw.
Hanscana.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia
Wambura (wa pili kulia) akikata utepe kuzindua studio mpya ya kisasa
ya Wanene Entertainment Julai 29, 2016 Jijini Dar es Salaam wa pili
kushoto ni mmoja ya wakurugenzi wa Wanene Entertainment Bw. Darish
Pandit.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia
Wambura (wa pili kulia) akiangalia moja ya vyumba vya kurekodia na
kutengengeneza video vilivyopo ndani ya studio ya Wanene Entertainment
mara baada ya kuizindua studio hiyo Julai 29, 2016 Jijini Dar es Salaam
kulia ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce
Fissoo.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia
Wambura (kulia) akipata maelezo kutoka kwa mmoja ya wakurugenzi wa
Wanene Entertainment Studio Bw. Darish Pandit(kushoto) kwa kuhusu maeneo
mbalimbali ndani ya studio hiyo Julai 29, 2016 Jijini Dar es Salaam.
Mtayarishaji wa video kutoka kampuni ya Wanene Entertainment
Studio Bw. Hanscana akimuonesha Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (aliyekaa) naamna kazi za video
zinavyotengenezwa mara baada ya kurekodiwa katika maeneo mbalimbali
alipotembelea studio hiyo mara baada ya kuizindua rasmi Julai 29, 2016
Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau waliohudhulia hafla ya uzinduzi wa studio ya kisasa ya Wanene Entertainment Julai 29, 2016 Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia
Wambura ( wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wakurugenzi wa
studio za kisasa za Wanene Entertainment na wa tatu kushoto ni Katibu
Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi Joyce Fissoo.
0 comments:
Post a Comment