Msanii wa Miduara AT amemporomoshea matusi mazito msanii mwenzie wa Bongo Flava Peter Msechu kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Katika post hiyo ambayo imeambatana na Picha ya Msechu, AT amemtupia
lawama msanii huyo akidai amekuwa na tabia ya kumsema hovyo bila kujua
chanzo chake.
“Mvuto Sifuri Bikaka @peter_msechu
Nene km Lori Hivi kuongelea wembamba wangu unalipwa sitaki shobo km
lakufanya huna jikate minyama yako ujichome mishkaki usi nitekenye mdomo
ukataka niongee Tumbo Tumbo km Umeficha Kobe wewe nipotezee
usilazimishe mimi niwe karibu na wewe sina shida ya kukuazima tumbo
nende nalo harusini Mifulana km Turubali za Msimbani Babu kaa mbali na
mimi kwani hivi na wewe ni msanii wanchi hii au Muuza kufia za Oliva
Mtukuzi? Pyuuuuuuuuuuuuu ukiona nipo kimnya ujue sihitaji varangati na
mtu kiki zime adimika huna utakapopatia usinione Mwembamba ingia 18
uhadithie wenzio Mr Machupi ya kushonesha.!!” Ameandika AT.
0 comments:
Post a Comment