Mtengenezaji
sigara maarufu nchini Cuba ametengeneza kile anachosema ni msokoto
mrefu zaidi wa sigara duniani kusherehekea siku ya 90 ya kuzaliwa kwa
Fidel Castro.
Mtaalamu wa tumbaku Jose Castelar (mwenye shati jekundu) ameitengeneza sigara hiyo kwa heshima ya Fidel Castro
Sigara hiyo ya mita 90 na ilimchukua siku 10 kuutengeneza msokoto huo akisaidiwa na watu kadhaa.Msokoto huo wa sigara uliwasilishwa kwenye meza kadha ndefu katika ngome ya kale ya wakoloni katika bandari ya Havana.
Bw Castelar na wasaidizi wake walifanya kazi saa 12 kila siku kwa siku
10 kutengeneza msokoto huo, ambao upana wake ni kama wa msokoto wa
kawaida days to roll the cigar, which is the width of an ordinary one
Urefu wa msokoto huo wa sigara ulithibitishwa na afisa wa Ubalozi wa
UIngereza, aliyesema maelezo hayo yametumwa kwa Guinness World Records
ili itambuliwe kama rekodi ya dunia.
0 comments:
Post a Comment