
Stones amekua akihusishwa na mpango wa kujiunga na Man City tangu Pep
Guardiola alipoanza kazi mwanzoni mwa mwezi uliopita, lakini mpaka sasa
hakuna taarifa zozote za hatua za uhamisho wa beki hiyo zilizofanywa na
kuthibitishwa katika vyombo vya habari.
Man City wamewasilisha orodha ya kikosi chao chenye wachezaji 21
kitakachocheza michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya msimu huu,
ambapo wataanzia kwenye hatua ya mtoano kwa kucheza dhidi ya Steaua
Bucuresti na jina la Stones limeonekana.
0 comments:
Post a Comment