TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Saturday, August 27, 2016

VIJANA NCHINI WATAKIWA KUJIJENGEA TABIA YAKUPENDA KUJIFUNZA

 Meneja wa Buni Hub Jumanne Mtambalike akifafanua jambo katika Majadiliano yaliyoratibiwa na Jukwaa la Ujasiriamali Jamii Tanzania (TASEF) kwa lengo la kujadili Ripoti ya Hali ya Ajira kwa Vijana ya mwaka 2016 iliyotolewa na Shirika la Kazi Dunia (ILO) jana Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni muongoza mada Amon Tamilwai. Jukwa hilo limekuwa likikutana kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi ambapo ukutanisha vijana kwa lengo la kujadili mada mbalimbali zenye muelekeo wa kumkomboa kijana kifikra.

Mratibu wa Program kutoka Actuality Media Bi. Audrey Fancher akielezea jambo katika Majadiliano yaliyoratibiwa na Jukwaa la Ujasiriamali Jamii Tanzania (TASEF) kwa lengo la kujadili Ripoti ya Hali ya Ajira kwa Vijana ya mwaka 2016 iliyotolewa na Shirika la Kazi Dunia (ILO) jana Jijini Dar es Salaam. Jukwa hilo limekuwa likikutana kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi ambapo ukutanisha vijana kwa lengo la kujadili mada mbalimbali zenye muelekeo wa kumkomboa kijana kifikra.

Baadhi ya Vijana wakichangia mada katika Majadiliano yaliyoratibiwa na Jukwaa la Ujasiriamali Jamii Tanzania (TASEF) kwa lengo la kujadili Ripoti ya Hali ya Ajira kwa Vijana ya mwaka 2016 iliyotolewa na Shirika la Kazi Dunia (ILO) jana Jijini Dar es Salaam. Jukwa hilo limekuwa likikutana kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi ambapo ukutanisha vijana kwa lengo la kujadili mada mbalimbali zenye muelekeo wa kumkomboa kijana kifikra.

Baadhi ya washiriki wa Jukwaa la Ujasiriamali Jamii Tanzania (TASEF) wakifuatilia mada katika Majadiliano kuhusu Ripoti ya Hali ya Ajira kwa Vijana ya mwaka 2016 iliyotolewa na Shirika la Kazi Dunia (ILO) jana Jijini Dar es Salaam. Jukwa hilo limekuwa likikutana kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi ambapo ukutanisha vijana kwa lengo la kujadili mada mbalimbali zenye muelekeo wa kumkomboa kijana kifikra.

Baadhi ya washiriki wa Jukwaa la Ujasiriamali Jamii Tanzania (TASEF) wakibadilishana mawazo mara baada ya kumaliza Majadiliano kuhusu Ripoti ya Hali ya Ajira kwa Vijana ya mwaka 2016 iliyotolewa na Shirika la Kazi Dunia (ILO) jana Jijini Dar es Salaam. Majadiliano hayo yameratibiwa na Jukwaa la Ujasiriamali Jamii Tanzania (TASEF).

Baadhi ya washiriki wa Jukwaa la Ujasiriamali Jamii Tanzania (TASEF) wakibadilishana mawazo mara baada ya kumaliza Majadiliano kuhusu Ripoti ya Hali ya Ajira kwa Vijana ya mwaka 2016 iliyotolewa na Shirika la Kazi Dunia (ILO) jana Jijini Dar es Salaam. Majadiliano hayo yameratibiwa na Jukwaa la Ujasiriamali Jamii Tanzania (TASEF).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: VIJANA NCHINI WATAKIWA KUJIJENGEA TABIA YAKUPENDA KUJIFUNZA Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA