TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Thursday, September 1, 2016

Dk.Nurjan Jiwaj, mtalaam wa sayansi ya anga nchini Tanzania na mmoja wa waratibu wa tukio



Wageni kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika na Ulaya, pamoja na wanasayansi wa anga, wapo katika mji wa Rujewa mkoani Mbeya kusini,Magharibi mwa Tanzania, kushuhudia tukio la kihistoria la kupatwa kwa jua kwa kiwango cha asilimia 97 kwa mujibu wa wataalam wa masuala ya anga.

Tukio kama hilo hutokea baada ya miaka mingi,ambapo tukio la mwisho,lilikuwa mwaka 1977.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Dk.Nurjan Jiwaj, mtalaam wa sayansi ya anga nchini Tanzania na mmoja wa waratibu wa tukio Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA