TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Monday, September 5, 2016

WATOA TAARIFA ZA UHALIFU NA MASHAHIDI WAANZA KULINDWA

Mkurugenzi Msaidizi Utekelezaji wa Katiba kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Bw. Kamana Stanley (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu kuanza kutekelezwa kwa Sheria ya Kuwalinda Watoa Taarifa za Uhalifu na Mashahidi ya mwaka 2016 inayolenga kuimarisha utawala bora na mapambano dhidi ya uhalifu nchini. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa wizara hiyo Sheiba Bullu.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: WATOA TAARIFA ZA UHALIFU NA MASHAHIDI WAANZA KULINDWA Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA