TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Thursday, March 30, 2017

Lionel Messi afunguka baada ya kufungiwa na FIFA

Wakati wa mchezo dhidi ya Chile uliyochezwa March 24 2017, baada ya kufungiwa Lionel Messi mtandao wa bleacherreport ulimtafuta Lionel Messi na haya ndio yalikuwa maneno yake.

“Maneno yangu hayakuwa yamemlenga moja kwa moja muamuzi msaidizi, kuna maneno ambayo yalikuwa yamesemwa kwangu mimi nilijisemea tu”  (Lionel Messi).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Lionel Messi afunguka baada ya kufungiwa na FIFA Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA