Majeneza ya miili ya watu waliopoteza maisha jana kutokana na
tetemeko la ardhi lililopokea mjini Bukoba mkoani Kagera waombolezaji
watatoa heshima zao za mwisho na kuaga miili ya marehemu hao leo kwenye
uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba ambapo Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa
ataongoza wananchi wa Bukoba kutoa heshima za mwisho kwa miili ya
marehemu hao.
Sunday, September 11, 2016
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment