TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Wednesday, April 8, 2015

JAMII IKIAMUWA UKATILI DHIDI YA MAUWAJI YA ALBINO NA UTOAJI WA KOROMEO UTAKOMA

Jimii ikiamuwa ukatili dhidi ya nduguzetu wanao tolewa baadhi ya viungo vyao vyamwili ikiwemo kukatwa koromeo, mikono na miguu litakoma. Ivikalibuni yamejitokeza mauwaji dhidi ya watu wenye ulemavu wangozi(ALBINO) na utowaji wa koromeo kwa mkowa kagera, tutambue wazi kuwa hakuna binadamu aliye penda kuzaliwa kamalivyo. Hivyo basi watu wenye ulemavu wa ngozi wana haki yakuishi kama wengie hivikalibuni wame kabiliwa na tishiokubwa juu ya maisha yao, wamekuwa wakilengwa sehem zao zamwli na waganga pamoja na wapiga ramli wenye kuamini viungo hivyo uleta bahati yakupata mali au utajili. Wa Tanzania wenzangu kumbuka mali au utajili haupatikani kwa kuuwa au kumdhulu mtu ispokuwa kwa kujituma kufanyakazi tena kwa bidii. Ikiwa autakuwepo ushlikiano kati yetu na serikali, itakuwa ndo mwanzo wa vurugu mpya ya kupambana na ukatil mpya unaojitokeza ikiwemo kukata koromeo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: JAMII IKIAMUWA UKATILI DHIDI YA MAUWAJI YA ALBINO NA UTOAJI WA KOROMEO UTAKOMA Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA