TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Sunday, May 24, 2015

SIFA ZA KIONGOZI MZALENDO ANATAKIWA KUWAJE


Katika kipindi cha uchaguzi tunasikia maneno mengi nayenye lugha nzuli za KIZALENDO zenye
kuvutia toka kwa wagombea wetu. Lakine Je? tunafahamu sifa za kiongozi tunae mchaguwa, baadhi ya sifazenyewe ni hizi zifuatazo:-

(i) Mwaminifu
(ii) Mkweli na mfuatiliaji wa mambo kwa umakini
(iii) Mchapa kazi
(iv) Mwenye huruma
(v) Mwenye upendo
(vi) Mcha Mungu
(vii) Asiweke masilahi yake binafsi
(viii) Msikilizaji mzuri
(ix) Mwenye ushawishi mkubwa
(x) Mwenye utayari
(xi) Anae penda kushauliwa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: SIFA ZA KIONGOZI MZALENDO ANATAKIWA KUWAJE Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA