TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Saturday, June 20, 2015

NEYMAR TARAKA NNE

Mshambuliaji wa Brazil Neymar atakosa michuano yote ya kombe la Copa America baada ya kupigwa marufuku ya mechi nne. Mchezaji huyo wa miaka 23 kutoka kilabu ya Barcelona alionyeshwa kadi nyekundu kwa kuzozana na wachezaji wa Colombia baada ya Brazil kushindwa na Colombia 1-0 katika mechi ya makundi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: NEYMAR TARAKA NNE Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA