TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Saturday, July 25, 2015

CHUPI ZAZUA KIZAAZAA BUNGENI UKO NCHINI ZIMBABWE

Mbunge mmoja nchini Zimbabwe alizua kizaazaa bungeni pale alitumia chupi za kina mama kusisitiza hatma ya raia masikini wa nchini hiyo ambao hawana uwezo wa kununua chupi mpya.

Katika kikao kilichokua kikipeperusha moja kwa moja kwenye runinga ya taifa, Priscilla Misihairabwi-Mushonga, wa chama cha upinzani cha Movement for Democratic Change (MDC), alitoa karatasi ya plastiki iliyokuwa na chupi hiyo. Kisha akamuuliza waziri wa fedha na sera za serikali kuhusiana na uagizwaji wa chupi kukuu ambayo anasema ni ya bei nafuu na zinasababisha madhara makubwa kwa afya ya kina mama.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: CHUPI ZAZUA KIZAAZAA BUNGENI UKO NCHINI ZIMBABWE Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA