TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Sunday, July 24, 2016

CHUI AMUUWA MWANAMKE CHINA NA MWINGINE KUJERUIWA

Chui katika mbuga moja ya wanyama pori nchini China wamemmuua mwanamke mmoja na kumjeruhi mwinngine baada ya wawili hao kuondoka ndani ya gari lao.

Vyombo vya habari vilichapisha picha zikionyesha mmoja wa wanawake hao wakitoka kwenye gari na kusimama nje kabla ya kushambuliwa kwa haraka na Chui na kisha kuburutwa.

Mwanamke wa pili aliuawa wakati alitoka ndani ya gari akijaribu kumuokaa mwenzake wakati yeye mwenyewe alishambuliwa na Chui mwingine.

Wageni katika mbuga ya Badaling mjini Beijing, huruhusiwa kuendesha magari yao ndani ya mbuga lakini mara nyingi hushauriwa kutotoka nje ya magari yao.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: CHUI AMUUWA MWANAMKE CHINA NA MWINGINE KUJERUIWA Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA