TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Sunday, July 24, 2016

MATOKEO YA FINALLY YA MCHUNGAJI JORAM MUJUN

Goli la Chandim lime sababishwa na Joldan mchezaji aliye vaa jizi 10 mgongoni katika kipindi cha pili dk ya 67.

 

Picha (9) kabala ya kuanza mchezo na baada ya kutoka katika  mchezo.

 Wakati mgeni lasmi anatoa maneno ya nasaha kwa wachezaji kasistiza wachezaji wawe na upendo, umoja na mshikamano katika mchezo.

 Picha ya pamoja 

 Wachezaji wa Chandim wame vaa jizi ya manjano
 
Meza kuu. 

Wachezaji wa chandim wame vaa jizi ya

Wachezaji wa Bunena wame vaa jizi nyekundu.


Picha zinazo fuatia nia baada ya mchezo pamoja na chandim kushangiria kutokana na ushindi walio pata.





  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: MATOKEO YA FINALLY YA MCHUNGAJI JORAM MUJUN Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA