TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Saturday, July 23, 2016

MANENO YA JK MKUTANO MKUU WA CCM JULY23,2016

Najua haikuwa rahisi kwa JPM kukubali kuwa mwenyekiti wa CCM lakini tulifanya kazi ya ziada kumshawishi akakubali.

Hakukuwepo na mkakati wowote wa mimi kukataa kutoka kwenye uenyekiti, vyombo vya habari vilieneza uongo.

Kama kweli nilikuwa sitaki kuachia ngazi baada ya Rais kuniambia hana haraka nisingemtafuta Mangula akazungumze naye.

Nimekitumikia chama cha Mapinduzi 'CCM' kwa takribani miaka 41 mfululizo.

 Kama kuna kitu nakifahamu vizuri maishani mwangu ni chama cha mapinduzi 'CCM.

Alisema JK.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: MANENO YA JK MKUTANO MKUU WA CCM JULY23,2016 Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA