TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Saturday, July 23, 2016

SOMA ALICHO ANDIKA ZITTO KABWE BAADA YA RAIS MAGUFULI KUPEWA UENYEKITI WA CCM

Leo July 23 2016  Rais John Pombe Magufuli amekabidhiwa rasmi nafasi ya uenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM   baada ya kupigiwa kura za ndio 2398  kutoka kwa wanachama wa chama hicho ambapo hakuna kura hata moja ya hapana wala iliyoharibika.

Baadhi ya viongozi wakiwemo wa vyama vya upinzania walishiri akiwemo mwenyekiti wa TLP Augustino Mrema, lakini wapo pia waliotamani kufikisha hisia zao kuhusu tukio hilo na mmojawapo ni mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe kupitia account yake ya facebook aliandika maneno haya.............


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: SOMA ALICHO ANDIKA ZITTO KABWE BAADA YA RAIS MAGUFULI KUPEWA UENYEKITI WA CCM Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA