TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Saturday, July 16, 2016

STAR FID Q NA WENGINE WAME TANGAZWA WASHINDI NAZIFF 2016

July 16 2016 tamasha la Zanzibar International Film Festival ‘ZIFF’ limefanyika Zanzibar huku likiwakusanya watu kutoka mataifa mbalimbali duniani, hili ni tamasha ambalo limekuwa likijikita zaidi katika kukuza sanaa ya filamu nchini na kwa leo limewatunuku tuzo baadhi ya mastaa ambao baadhi yao nimekusogezea hapa chini.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: STAR FID Q NA WENGINE WAME TANGAZWA WASHINDI NAZIFF 2016 Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA