TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Friday, July 22, 2016

TASINIA YA FILAMU IMEPATA MSIBA WA MCHEKESHAJI ISMAIL ISSA MAKOMBE

Tasnia ya Filamu Tanzania imepata msiba, R.I.P Mchekeshaji Kundambanda.

 July 22 2016 ripoti zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kwa baadhi ya mastaa wa vichekesho nchini zikionyesha taarifa ya kufariki kwa mmoja kati ya wachekeshaji maarufu nchini Tanzania,  Ismail Issa Makombe ‘Baba Kundambanda’ kutoka kwenye maigizo ya Vituko Show.

Taarifa za awali zinadai kuwa amefariki akiwa nyumbani kwao Masasi, Mtwara, endelea kuwa karibu na simamabukoba.com kwa taarifa zaidi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: TASINIA YA FILAMU IMEPATA MSIBA WA MCHEKESHAJI ISMAIL ISSA MAKOMBE Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA