Kwa mujibu wa mashuhuda katika barabara ya Oshodi nchini Nigeria,
wasamalia wema mjini humo wamemkamata bibi mwenye umri unaokadiriwa kuwa
ni miaka 60 na maiti ya mtoto wa mwezi mmoja kwenye mfuko wa
‘Salufeti’.
Polisi mjini humo wamekiri kuwepo kwa tukio hilo na mtuhumiwa ameanza kuchukuliwa hatua za kisheria.
Mtoto huyo anatajwa kama mtoto aliyeripotiwa kutekwa hospitalini wiki mbili zilizopita.
0 comments:
Post a Comment