TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Monday, August 29, 2016

NAKATIBU MKUU WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO AKUTANA NA MWAKILISHI WA SHIRIKA LA (GIZ) LA UJERUMANI

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora (kushoto) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa shirika la maendeleo la Ujerumani (GIZ) Dkt. Regine Qualmann kuhusu ushirikiano baina ya Wizara  na  shirika hilo katika upande wa Tehama . 

Mwakilishi Mkazi wa shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ) Dkt. Regine Qualmann (katikati) akizungumza jinsi wanavyoitumia TEHAMA  katika kufikisha huduma, (kushoto) ni Katibu Mkuu wa Wizara  ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora na (Kulia) ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mhandisi Dkt. Maria Sasabo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: NAKATIBU MKUU WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO AKUTANA NA MWAKILISHI WA SHIRIKA LA (GIZ) LA UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA