Si jambo linaloweza kufikiriwa na
kila mtu kulitenda wakati wa siku maalum, Lakini wapenzi wa kichina
walichagua kusherehekea harusi yao huku wakielea angani katika daraja
la kioo.
Licha ya kuelea angani yapata futi 590 kutoka usawa wa ardhi , waliweza kuonyesha tabasamu zao walipokuwa wakipigwa picha za harusi yao.
Madaraja ya vioo yamekuwa maarufu sana nchini uchina hivi karibuni.
Wiki chache tu zilizopita , maharusi wengine waliamua kuvalishana pete
kwenye daraja hilo hili ingawa hawakutoka kwenye daraja.
0 comments:
Post a Comment