Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais,Muungano na Mazingira,January Makamba akifungua warsha ya wadau wa
kuhusu ripoti ya taarifa ya mchango wa Tanzania katika juhudi za
kimataifa za kukabiliana na mabadiliko ya Tabia ya Nchi uliofanyika jana
kwenye ukumbi wa Veta mjini Tanga kulia ni Kaimu
Mkurungenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais
anayeshughulikia pia mabadiliko ya tabia ya Nchi, Richard Muyungi na
kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi.
Kaimu Mkurungenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia pia
mabadiliko ya tabia ya Nchi, Richard Muyungi akizungumza katika warsha hiyo ya siku mbili
inayofanyika kwenye ukumbi wa Veta Mkoani Tanga.
mabadiliko ya tabia ya Nchi, Richard Muyungi akizungumza katika warsha hiyo ya siku mbili
inayofanyika kwenye ukumbi wa Veta Mkoani Tanga.
Baadhi ya washiriki wa warsha ya wadau kuhusu ripoti ya Taarifa ya Mchango wa Tanzania katika Juhudi za Kimataifa za kukabiliana na mabadiliko ya Tabia ya Nchi katika kikao
kilichofanyika kwenye ukumbi wa Veta Jijini Tanga wakimsikiliwa Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira,January Makamba
alikuwa akifungua mkutano huo
kilichofanyika kwenye ukumbi wa Veta Jijini Tanga wakimsikiliwa Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira,January Makamba
alikuwa akifungua mkutano huo
Mazingira kutoka wizarani Richard Muyungi
0 comments:
Post a Comment