Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wasanii wapenda Amani nchini,
Asha Baraka akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya tamko lao la
kuungana pamoja kupinga Maandamano ya UKUTA, Septemba 1.
Mwenyekiti wa Umoja huo, Steven Mengere (Steve Nyerere)
akizungumza juu ya kupinga maandamano ya UKUTA yanayotarajiwa kufanyika
Septemba Mosi kote nchini.
0 comments:
Post a Comment