Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba,
akizungumza wakati wa kuaga miili ya askari waliouawa katika eneo la
Mbande, Temeke baada ya kuvamiwa na majambazi .Ibada hiyo ya kuaga
ilifanyika katika Viwanja vya Polisi vilivyopo barabara ya
Kilwa,jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Ernest Mangu, akizungumza wakati
wa maombolezo na kuaga miili ya askari waliouawa katika eneo la Mbande,
Temeke baada ya kuvamiwa na majambazi.Ibada hiyo ya kuaga ilifanyika
katika Viwanja vya polisi vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es
Salaam.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba,
akipita kutoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yaliyobeba miili ya
askari waliouawa baada ya kuvamiwa na majambazi katika eneo la
Mbande, Temeke ,bada hiyo ya kuaga miili ilifanyika katika viwanja vya
polisi vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba,
akitoa mkono wa pole kwa mmoja wa ndugu wa askari waliouawa baada ya
kuvamiwa na majambazi katika eneo la Mbande, Temeke ibada hiyo ya kuaga
miili ilifanyika katika viwanja vya polisi vilivyopo barabara ya
Kilwa,jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni , akitoa mkono wa pole kwa mmoja wa ndugu wa askari
waliouawa baada ya kuvamiwa na majambazi katika eneo la Mbande, Temeke
,ibada hiyo ya kuaga miili ilifanyika katika Viwanja vya Kambi Kuu ya
Polisi iliyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.
Askari
wakimsaidia mzazi wa mmoja wa askari waliouawa baada ya kuvamiwa na
majambazi katika eneo la Mbande, Temeke, ibada hiyo ya kuaga miili
ilifanyika katika viwanja vya polisi vilivyopo barabara ya
Kilwa,jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi).
0 comments:
Post a Comment