TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Wednesday, September 7, 2016

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA MAKAZI YAKE MAPYA MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Badhi ya Mawaziri na viongozi wa mkoa wa Dodoma baada ya kukagua ujenzi wa makazi mapya ya Waziri Mkuu kwenye kilima cha Mlimwa mjini Dodoma Septemba 7,2016. Katikati ni mkewe Mary.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA MAKAZI YAKE MAPYA MJINI DODOMA Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA