TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Monday, September 12, 2016

MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA LUGALO KUONA WAGONJWA

 Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akimsalimia Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Msuguri wakati alipokwenda kwenye hospitali ya Jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam kuona wagonjwa baada ya kushiriki sala ya Iddi El Haji kwenye uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es salaam Septemba 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa  na mkewe Mary (kulia)  wakimjulia hali  Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Msuguri wakati walipokwenda kwenye hospitali ya Jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam kuona wagonjwa baada ya kushiriki sala ya Iddi El Haji kwenye uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es salaam Septemba 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa  na mkewe Mary (kulia)  wakiwajulia hali wagonjwa  wakati walipokwenda kwenye hospitali ya Jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam kuona wagonjwa baada ya kushiriki sala ya Iddi El Haji kwenye uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es salaam Septemba 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA LUGALO KUONA WAGONJWA Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA