TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Monday, September 12, 2016

SHEIKH WA MKOA AONGOZA SWALA YA IDDILHAJ KATIKA UWANJA WA SHULE YA JAMIA KUTOKANA NA OFU YA TETEMEKO LA ARDHI

Sheikh wa mkoa Kagera aongoza maelfu ya watu katika swala ya iddilhaj mjini Bukoba Manispa katika wa wanja wa shule ya jamia.

Sheikh awaambia waislamu kuwa kitia kitabu kitukufu (Quran) mungu anasema katika dariri zakiama ni ni pamoja na kupatwa kwa jua na mwezi, teemeko la ardhi pamoja na matukio mengine makubwa na yakutisha.
 Awaelimisha Watanzainia kuwa waashe fikla potovu kuwa kupatwa kwa jua na mwezi kuna uhusiano na tetemeko la ardhi.

Pia wahasa wazazi kuto waoza watoto pindi wanapo hitimu darasa la saba7 kwani kufanya hivyo ni kuwakosesha hakizao za msingi. 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: SHEIKH WA MKOA AONGOZA SWALA YA IDDILHAJ KATIKA UWANJA WA SHULE YA JAMIA KUTOKANA NA OFU YA TETEMEKO LA ARDHI Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA