TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Monday, September 19, 2016

MASANJA ALIVYONOGESHA TAMASHA LA UTAMADUNI WA FARIKA MASHARIKI OLNEY, MARYLAND


 
Msanja Mkandamizaji akitoa neno huku akitumia kipaji chake cha uchekeshaji siku ya Jumamosi Septemba 17, 2016 kwenye siku ya tamasha la utamaduni wa Afrika Mashariki lililofanyika Olney, Maryland nchini Marekani. Katika onyesho hilo kulikuwepo na vikundi mbalimbali vya utamaduni kutoka Afrika Masahariki, wakiwembo wasanii wa nyimbo za injili na onyesho la mavazi kutoka nchi tano zinazounda jumuiya hiyo. Na mapema mchana tamasha  lilianzia na nyama choma.
 
 
Masanja Mkandamizaji akifanya vitu vyake.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: MASANJA ALIVYONOGESHA TAMASHA LA UTAMADUNI WA FARIKA MASHARIKI OLNEY, MARYLAND Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA