TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Tuesday, June 28, 2016

WATU 25 WAUAWA YEMEN

Ripoti kutoka nchini Yemen zinasema kuwa shambuli la angani lililofanywa na muungano unaoongozwa na Saudi Arabia limesababisha vifo vya watu 25 katika mkoa ulio kusini wa Taiz.

Taarifa zinasema kuwa 15 kati ya wale waliouawa walikuwa ni waasi wa Houthi na wengine ni raia.

Muungano unaoongozwa na Saudi Arabia unaiunga mkono serikali ya Yemen, inayopigana na waasi wa Houhi na washirika wao.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: WATU 25 WAUAWA YEMEN Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA