TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Wednesday, July 27, 2016

ALIYE MPIGA KOFI JUSTIN TIMBERLAKE AKAMATWA

Mtu anayedaiwa kumzaba kofi msanii Justin Timberlake katika mchuano wa gofu katika Ziwa Tahoe huko Nevada amekamatwa.

Katika kanda ya video iliopatikana na mtandao wa TMZ,Justin anaonekana kupita katikati ya watu kabla ya mkono wa mtu kuonekana ukimgusa upande mmoja wa uso wake.

Justin aligeuka na kumuuliza, ndugu mbona ufanye kitendo kama hicho?

Walinzi wake walimvuta msanii huyo mwenye umri wa miaka 35 lakini baadaye akaonekana akizungumza na mshukiwa huyo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: ALIYE MPIGA KOFI JUSTIN TIMBERLAKE AKAMATWA Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA