TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Wednesday, July 27, 2016

WANAWAKE WA MOMBASA WABUNI NJIA ZA KUJIKIMU KIMAISHA

Wanawake wa Kenya wakitembea msituni kutafuta kuni kwa ajili ya kupigia.

Mashirika mbali mbali duniani yamekuwa yakijitokeza kujaribu kuwasaidia wanawake ili waweze kujikimu kimaisha na pia kuibadilisha jamii inayowazunguka.

Mfano ni taasisi ya Umoja wa Mataifa (UN) ambapo Julai mwaka 2010, taasisi hiyo ilianzisha kitengo maalum kinachofahamika kama UN Women lengo likiwa ni kuangazia matatizo wanayopitia wanawake duniani na kisha kutafuta suluhu.

Huku juhudi zikiendelea, imebainika kwamba wanawake wanaoishi maeneo ya vijijini hasa barani Afrika wanakumbwa na matatizo mengi ikilinganishwa na wenzao wanaoishi mijini.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: WANAWAKE WA MOMBASA WABUNI NJIA ZA KUJIKIMU KIMAISHA Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA