Mkurugenzi
Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Dkt. Riziki Shemdoe
(katikati wa nne) akikagua upokeaji wa wanafunzi wa kidato cha tano
katika shule ya sekondari mdabulo katika iliyoko Wilaya ya Mufindi
mkoani Iringa. Shule hiyo ambayo iko umbali wa km 45 kutoka mji wa
Mafinga upande wa mashariki mwaka huu imeanza kufundisha programu za
masomo ya kidato cha tano na sita katika mchepuo wa Sanaa HGK,HKL na
HGL.
Baadhi
ya wanafuzi wa shule ya sekondari mdabulo iliyoko wilayani Mafinga mkoa
wa Iringa wakipata huduma ya maji safi katika eneo la shule hiyo ambayo
ni ya mchanganyiko wa wavulana na wasichana kwa “O – Level” na
wasichana pekee kweLevel”.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Dkt. Riziki Shemdoe
(kushoto) akikagua uwepo wa madawati katika madarasa ya shule hiyo
ambayo kwa mara ya kwanza imeanza kufundisha programu za masomo ya
kidato cha tano na sita katika mchepuo wa Sanaa.
MkurugenziMtendaji
wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Dkt. Riziki Shemdoe (katikati)
akikagua mazingira na miundombinu ya shule hiyo akiwa ameambatana na
viongozi wa shule hiyo.
0 comments:
Post a Comment