TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Thursday, July 21, 2016

RATIBA YA RIGI KUU SOKA TANZANIA BARA 2015-2016



Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF leo July 19 2016 limetangaza kutoa rasmi ratiba ya Ligi Kuu soka Tanzania bara msimu wa 2016/2017, TFF wametangaza kutoa ratiba hiyo ikiwa ni baada ya saa kadhaa kupita toka ianze kuenea ratiba ya Ligi Kuu kuwa imevuja. Ligi itaanza August 31 2016.

Ratiba iliyotolewa na TFF inautofauti na ile iliyosambaa mitandaoni kama imevuja, Ile ya mwanzo imekosewa anwani ya Posta ya TFF na kuonesha kuwa mchezo kati ya Azam FC na African Lyon utachezwa August 21, lakini hii rasmi ina anwani sahihi na mchezo huo  utachezwa August 20, 2016.











  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: RATIBA YA RIGI KUU SOKA TANZANIA BARA 2015-2016 Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA