TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Monday, July 25, 2016

WAZIRI MKUU ATAKA MAWAZIRI KUMFUATA DODOMA MWEZI WA TISA (9)

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, leo akiwa katika sherehe ya siku ya Mashujaa, amesema kuwa atahamia Dodoma kama ahadi waliyoitoa mwezi wa 9 na mawaziri wote wamfuate.

Rais Magufuli aliahidi katika kipindi cha uongozi wake Serikali yote itahamia Dodoma.

Juzi katika mkutano wa CCM, Rais Magufuli alikumbushia ahadi hiyo ya kuhamia Dodoma na kusema kuwa kabla hajamaliza miaka yake 5 Serikali yote itakuwa mjini Dodoma.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: WAZIRI MKUU ATAKA MAWAZIRI KUMFUATA DODOMA MWEZI WA TISA (9) Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA