TANGOZO

TANGOZO
Latest News
Thursday, August 4, 2016

TIGO YATOA MSAADA WA VIFAA VYAMASOMO YA SAYANSI KWA SEKONDARI YA CHATO


Mkuu wa Wilaya ya Chato Shaban Ntlambe(katikati) akipokea vifaa vya masomo ya Sayansi (Fizikia,Baiolojia na Kemia)vya Shule ya Sekondari Chato  vyenye thamani ya Sh 30 Milioni, kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Ziwa wa Mtandao wa Tigo Edgar Mapande(kushoto),kwenye halfa iliyofanyika shuleni hapo mwishoni mwa wiki.KuliaMkuu wa Shule hiyo Bernado Selema

 
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chato wakiwa katika picha pamoja na vifaa vya masomo ya sayansi vilivyotolewa na  kamouni ya simu ya tigo

Mkuu wa Wilaya ya Chato Shaban Ntlambe(katikati) akipokea vifaa vya masomo ya Sayansi (Fizikia,Baiolojia na Kemia)vya Shule ya Sekondari Chato  vyenye thamani ya Sh 30 Milioni, kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Ziwa wa Mtandao wa Tigo Edgar Mapande(kushoto),kwenye halfa iliyofanyika shuleni hapo mwishoni mwa wiki.Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo Bernado Selema

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chato wakifuatilia matukio wakati wa kupokea vifaa vya masomo ya Sayansi (Fizikia,Baiolojia na Kemia) vyenye thamani ya Sh 30 Milioni kutoka kampuni ya Tigo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: TIGO YATOA MSAADA WA VIFAA VYAMASOMO YA SAYANSI KWA SEKONDARI YA CHATO Rating: 5 Reviewed By: SIMAMA BUKOBA