Dawa ya maumivu Ibuprofen na dawa ya kutibu saratani Toremifene zinaweza kukata makali ya virusi vya ugonjwa wa Ebola ,watafiti wame...
Thursday, June 30, 2016
Wednesday, June 29, 2016
SHAMBULIO LA KUJITOA MUHANGA LASABABISHA VIFO UWANJA WA NDEGE UTURUKI
4:25 AM
meripotiwa kuwa watu 36 wameuawa katika shambulio la kujitoa muhanga katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ataturk Istanbul nchini Utur...
Tuesday, June 28, 2016
TP MAZEMBE YAIHUKUMU YANGA NYUMBANI 1-0
5:54 AM
Bado Yanga wanaendelea kuusaka ushindi wao wa kwanza kwenye hatua ya makundi ya kombe la shirikisho Afrika. Baada ya kupoteza mechi y...
WATU 25 WAUAWA YEMEN
5:54 AM
Ripoti kutoka nchini Yemen zinasema kuwa shambuli la angani lililofanywa na muungano unaoongozwa na Saudi Arabia limesababisha vifo vya...
RIHANNA ATOKWA MACHOZI BAADA YA KUCHELEWA DK 30 KWENYE SHOW
5:32 AM
Nyota wa muziki Rihanna alibubujikwa na machozi wakati wa tamasha mjni Dublin usiku wa kuamkia jana baada ya kuwasili akiwa amechelewa ...
WATAFITI TOKA CHUO CHA OXFORD NA VYUO VINGINE WAGUNDUA GESI YA HELIUM TANZANIA
5:32 AM
Hifadhi kubwa zaidi ya gesi ya Helium yagunduliwa Tanzania. Tanzania ni miongoni mwa mataifa chache duniani yaliyojaliwa kuwa na ras...
SUGE KNIGHT AMSHITAKI CHRIS BROWN MAHAKAMANI
5:05 AM
Suge Knight anamshtaki mwanamuzki mwenza wa R& B Chris Brown mahakamani pamoja na mmiliki wa kilabu moja ya usiku nchini Marekani k...
KOCHA WA UINGEREZA ROY HODGDON AMEJIUZULU WADHFA WAKE.
4:52 AM
Saa chache tu baada ya timu ya kandanda ya Uingereza kubanduliwa nje ya mashindano ya mwaka huu ya Euro 2016, Kocha wa Uingereza Roy...
Sunday, June 26, 2016
BLACK COFFEE AWABWAGA WANA MUZIKI MAARUFU AKIWEMO DIAMOND PLATNUMZ
10:36 PM
DJ raia wa Afrika Kusini ambaye pia ni producer maarufu kama Black Coffee, amewabwaga wanamuziki maarufu wakiwemo WizKid, Yemi Alade ...
WAKIMBIZI 50,000 WA KISOMALIA KUONDOKA DADAAB.
10:36 PM
Shirika la kuhudumia wakimbizi nchini Kenya limesema wakimbizi 50,000 wa kisomali wanaoishi kwenye kambi ya wakimbizi ya Dadaab wata...
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Dkt. JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA MABADILIKO YA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA 139.
10:22 PM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Juni, 2016 amefanya mabadiliko madogo katika safu ya wakuu...
TIMU YA VIJANA CHINI YA MIAKA (17) SERENGETI BOYS IMEPATA USHINDI WA MAGOLI 3-0
12:54 PM
Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imepata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Seychelles katika mchezo wa kuwania ...
Subscribe to:
Posts (Atom)