Huenda Diamond Platnumz akawa ameitimiza ndoto aliyokuwa nayo kwa miaka mingi – kumiliki gari alipendalo zaidi, Rolls Royce. Kwa m...
Wednesday, August 31, 2016
Chris Brown akamatwa kwa ‘kumtishia’ mwanamke
6:18 AM
Polisi nchini Marekani wamemkamata na kumzuilia mwanamuziki mashuhuri Chris Brown kwa tuhuma za kushambulia mtu kwa silaha hatari. ...
MAPACHA WALIOZALIWA WAMEUNGANA WANAANDALIWA KUANZA SHULE
6:05 AM
Mapacha waliozaliwa wakiwa wameungana na kupewa uwezekano wa kuishi wa 20% wanajiandaa kuanza shule. Rosie na Ruby Formosa waliku...
UKUTA: UPINZINI WAAHIRISHA MANDAMONO TANZANIA
5:39 AM
Muungano wa vyama vya upinzani nchini Tanzania umeahirisha maandamano ya kitaifa ambayo yalikuwa yamepangiwa kufanyika kesho. Viongoz...
Christian Benteke Azungumzia Maisha Ya Liverpool
4:33 AM
Mshambuliaji mpya wa klabu ya Crystal Palace Christian Benteke, amefunguka kwa mara ya kwanza tangu alipokamilisha azma ya kuondoka mji...
WAZIRI WA ELIMU KOREA KASIKAZINI AUAWA KWA KOSA LA (KUSINZIA) WAKATI RAIS AKIONGEA
4:23 AM
Serikali ya Korea Kusini imesema waziri wa elimu nchini Korea Kaskazini ameuawa na maafisa wa serikali. Waziri huyo wa elimu anadaiwa ku...
WASANII WA TANZANIA UGHAIBUNI WAPAZA SAUTI KUPINGA MAANDAMANO YA UKUTA
3:55 AM
Kamnda Ras Makunja mkuu wa kikosi kazi ngoma africa band. Kamnda Ras Makunja mkuu wa kikosi kazi ngoma africa band. ...
DK.SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUWA
3:41 AM
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Nd,Hassan Khatib Hassan kuwa Naibu Kat...
Tuesday, August 30, 2016
KUPATWA KWA JUA KIPETE NA FURSA YA KUKUZA UTALII NCHINI
2:00 AM
TUKIO la kupatwa kwa jua kipete ambalo linataraji kutokea mwezi Septemba mwaka huu nchini hasa Mkoani Mbeya katika Wilaya ya Mbarali K...
Monday, August 29, 2016
Fabregas akana kukosana na mkufunzi Conte
11:17 AM
Kiungo wa kati wa Chelsea Cesc Fabregas amepinga madai kwamba alikosana na meneja wa klabu hiyo Antonio Conte. Meneja huyo aliripotiw...
Beyonce atawala tuzo za MTV Marekani
11:10 AM
Mwanamuziki wa Marekani Beyonce alitawala tuzo za muziki za MTV mjini New York siku ya Jumapili akijipatia mataji saba. Msanii hu...
MAKABIDHIANO YA OFISI MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA- NIDA
10:33 AM
Dr. Modestus Kipilimba (Kushoto) akimkabidhi ripoti ya utekelezaji mradi wa vitambulisho vya Taifa Bw. Andrew Wilson Massawe aliyeteu...
NAKATIBU MKUU WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO AKUTANA NA MWAKILISHI WA SHIRIKA LA (GIZ) LA UJERUMANI
10:05 AM
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora (kushoto) akizungum...
MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AHUDHURIA KIKAO CHA SADC TROIKA MJINI MBABANE SWAZILAND
10:05 AM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi na Balozi w...
Saturday, August 27, 2016
KAMANDA SIRRO ATANGAZA KIAMA KWA WANANCHI WATAKAO ANDAMANA SEPTEMBA MOSI JIJINI DAR ES SALAAM
10:05 PM
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi (CP), Simon Sirro akizungumza katika mkutano na waandishi wa ha...
Subscribe to:
Posts (Atom)