Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akisalimiana na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bib...
Saturday, July 30, 2016
MAKABURI YAWEKEWA HUDUMA YA ENTANETI
5:31 AM
Kila kukicha walimwengu wanakuja na yao, yapo yanayohuzunisha na yale yanayofurahisha kama ilivyo lengo la safu hii ambayo ni kukuacha ...
HATIMA YA SCHWEINSTEIGER MAN UNITED HAIJULIKANI
5:31 AM
Hatma ya mshindi wa kombe la dunia Bastian Schweinsteiger katika klabu ya Manchester United haijulikani kufuatia kuajiriwa kwa kocha J...
RAIS WA UTURUKI AWASAMEHE WALIOMTUKANA
4:47 AM
Rais Erdogon wa Uturuki ametangaza msamaha kwa watu wote waliokabiliwa na mashtaka ya kutukana, katika kile alichotaja kama ishara ya h...
KOFFI OLOMIDE ANYIMWA DHAMANA
4:42 AM
Mwanamuziki maarufu Koffi Olomide amekatazwa dhamana ya kuachiliwa huru kulingana na wakili wake. Jaji alikataa ombi lake la la kuach...
Friday, July 29, 2016
HILLARY CLINTON ASEMA TRUMP HAWEZI KUTATUA MATATIZO MAREKANI
9:01 AM
Hillary Clinton amekubali rasmi kuwa mgombezi wa Urais wa Marekani kupitia chama cha Democratic, huku akisema wakati wa kupambana ...
RAIS MAGUFULI AHHUTUBIA WAKAZI WA MANYONI NA IKUNGI AKIWA NJIANI KUELEKEA SINGIDA
8:01 AM
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe akimpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ma...
MAKAMU WA RAIS MH. MAMA SAMIA SULUHU HASSAN ABAINI CHANGA MOTO YA SARATANI OCEAN ROAD
7:42 AM
Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika taasisi ya saratani ya Ocean Road Jijini Dar...
KATIBU MKUU WA TFF ATOA SABABU ZA AIRTEL KUIBUA VIPAJI
7:31 AM
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine amesema kutimia kwa malengo ya Kampuni ya Simu za mkonon...
MAKAMU WA RAIS AMJULIA HALI SPIKA WABUNGE LA JAMUHURI YA MUUNGANO
6:33 AM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Ta...
DUCZ(YOUN LEADER OFFICIAL AUDIO)
6:33 AM
kutoka studio za OCB CLIMAX MUSIC chini ya Producer SAM MASTER.....Hii ni nyimbo ya DUCZ(YOUN LEADER) FT GODIAN na chorus amefanya ALLY DA Y...
Thursday, July 28, 2016
AMBER ROSE: ADDAI ANATATA KUWA MFANO WA KUIGWA KWENYE JAMII
11:40 AM
Mrembo Amber Rose X wa Wiz Khalifa amesema kwamba hivi sasa hana mpango wowote wa kugombana na wanawake wenzake kugombania wanaume. Ame...
MANCHESTER CITY 6-5 BORUSSIA DORTMUND
10:36 AM
Mkufunzi mpya wa Manchester City,Pep Guardiola, amesajili ushindi wake wa kwanza tangu atue Manchester City baada ya kuwaongoza mabing...
PETER OKOYE WA PSQUARE AOMBA RADTI MASHABIKI
10:20 AM
Mwanamuziki wa Nigeria anayeunda kundi la Psquare Peter Okoye ameomba msamaha kwa washabiki kufuatia ugomvi na kaka yake. Kupitia video...
DRC: JAJI ALIYEMHUKUM KATUMBI ADAI ALISHINIKIZWA
10:04 AM
Jaji mmoja wa mahakama ya juu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amekiri kuwa alishinikizwa na majasusi na wakuu wake katika idara...
JITOKEZENI KUSAIDIA MAKAZI YA WAZEE NA WATU WENYE ULEMAVU NCHINI
4:25 AM
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga akisalimiana na wazee alipotembelea Makaz...
NAIBU WAZIRI HAMADMASAUNI AONGOZA KIKAO CHA KUJADILI MKAKATI WA KUPUNGUZA AJALI NCHINI
4:07 AM
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad M...
Wednesday, July 27, 2016
NAY WA MITEGO AFUNGIWA KUJI HUSISHA NA KAZI ZA SANAA KWA MUDA USIOJULIKANA
7:27 AM
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia kwa kipindi kisichojulikana Msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu k...
ASKARI ALIYE MUUA MWANDISHI WA HABARI DAUDI MWANGOSI AFUNGWA JELA MIAKA 15
7:08 AM
Ndugu wa Marehemu Daudi Mwangosi mama Mfugale kushoto akitoka mahakama kuu kanda ya Iringa akiwa na furaha baada ya hukumu ya ...
Subscribe to:
Posts (Atom)